Skip to main content
Skip to main content

Watu 3 wakamatwa na kuhojiwa kwa mauaji ya wakili Mbobu

  • | Citizen TV
    8,829 views
    Duration: 2:57
    Watu watatu wamekamatwa na kuhojiwa kuhusiana na mauaji ya wakili Kyalo Mbobu. Watatu hao wanazuiliwa na polisi huku ikiarifiwa kuwa huenda wana taarifa muhimu itakayosaidia kuwatambua waliomuua wakili huyo siku ya Jumanne. Haya yanajiri huku wanasheria nchini wakifanya matembezi ya kushinikiza polisi kuharakisha uchunguzi na kuchukua hatua.