Watu 6 wauawa Samburu: Uvamizi wa punde umesababisha vifo Kawap Baragoi

  • | Citizen TV
    583 views

    Watu wengine 6 wamejeruhiwa kwenye tukio hili

    Zaidi ya mifugo 700 wameibwa kwenye uvamizi huu