Watu kadhaa wakamatwa na wengine wauguza majeraha katika kaunti tofauti wakati wa maandamano

  • | K24 Video
    238 views

    Waandamanaji zaidi ya 10 wamekamatwa katika kaunti za Kwale,Kajiado na Kisumu,huku wengine wakiuguza majeraha. Shughuli za biashara zililemazwa katika baadhi ya maeneo.