Skip to main content
Skip to main content

Watu tisa bado hawajulikani waliko kwenye maporomoko ya Chesongoch

  • | Citizen TV
    0 views
    Shughuli ya kutafuta miili ya watu tisa ambao bado hawajapatikana hadi sasa inandelea katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, huku Wito ukizidi kutolewa kwa serikali na mashirika kuendelea kutoa msaada kwa waathiriwa wa mkasa wa maporomoko ya udongo.