Watu Watatu Wapoteza Maisha Katika Ajali Ya Barabarani Nyakach

  • | TV 47
    16 views

    Watu Watatu Wapoteza Maisha Katika Ajali Ya Barabarani Nyakach

    Watu watatu wamefariki dunia leo asubuhi katika ajali ya barabarani eneo la Kong’ou, Nyakach, Kaunti Ya Kisumu. Ajali hiyo ilitokea kwenye barabara ya Katito-Kendu Bay baada ya pikipiki kugongana ana kwa ana na matatu ya abiria.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __