Watu wawili wafariki baada ya kugongwa na gari la polisi Baringo

  • | Citizen TV
    484 views

    Watu Wawili Wamepoteza Maisha Yao Baada Ya Kugongwa Na Gari La Polisi Wa Kitengo Cha Rdu Lililodaiwa Kuwa Likiendeshwa Kwa Kasi Katika Eneo La Itii,Karibu Na Lororo Baringo Ya Kusuni