Watu wawili wafariki baada ya kugongwa na gari Ruaka

  • | Citizen TV
    684 views

    Watu wawili wamefariki baada ya kugongwa na gari huku gari hilo jipya aina ya prado landcruiser lililosababisha ajali hiyo likiteketezwa katika eneo la Ruaka, eneo bunge la Kiambaa kaunti ya Kiambu.