Wauguzi wasusia kazi kwa siku ya tatu Eldoret

  • | Citizen TV
    250 views

    Kwa siku ya tatu Wauguzi kutoka hospitali ya Moi jijini eldoret, wamesusia kazi, hii leo wakiandamana katika barabara za mji huo kulalamikia ukosefu wa vifaa muhimu hospitalini mbali na kudai pesa zao. Haya yanajiri huku wagonjwa wakiendelea kuhangaika kwa kukosa huduma za matibabu. taswira kama hiyo pia imeshuhudiwa katika kaunti ya Kajiado.