Wavunaji Haramu ; tumbili kuvamia mashamba Karachuonyo kaunti ya Homa Bay

  • | KBC Video
    10 views

    Wakazi wa kijiji cha Ngoya katika eneobunge la Karachuonyo kaunti ya Homa Bay huenda wakakumbwa na uhaba wa chakula baada ya tumbili kuvamia mashamba yao ya mimea. Wakazi hao waliojawa na hofu wametoa wito kwa shirika la kuhifadhi wanyama pori kuchukua hatua za haraka kuwafurusha tumbili hao. Aidha wamelitaka shirika hilo la KWS kuwahamisha tumbili hao kwani wamekuwa tishio kwa wakazi mbali na kuharibu mimea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive