Wazazi katika eneo la Oloitokitok watakiwa kuhakikisha wana wao wanajiunga na vyuo

  • | Citizen TV
    139 views

    Wazazi katika eneo la Loitokitok kaunti ya Kajiado wamehimizwa kuhakikisha masomo ya wana wao hayaishii katika kidato cha nne, na badala yake wahakikishe wanaingia katika vyuo vikuu na vyuo vya masomo anuwai ili kuwaongezea nafasi za kupata ujuzi zaidi na kazi.