Wazazi wengi washindwa kumudu gharama Bungoma

  • | Citizen TV
    178 views

    Baadhi ya wazazi na wafanyabiashara mjini Bungoma wamelalamikia kupanda kwa gharama ya maisha, wakisema hali hiyo imeathiri kurejea kwa wanafunzi shuleni kwa sababu ya ukosefu wa mahitaji muhimu