Wazee kujumuishwa ndani ya mifumo tofauti ya serikali

  • | Citizen TV
    180 views

    Mchakato wa kuhakikisha wazee wa kijiji wamewekwa ndani ya mfumo wa serikali umeanza rasmi baada ya wizara ya mambo ya ndani kuanza kuchukua maoni ya wananchi kuhusiana na sheria mpya inayobuniwa kuimarisha utoaji wa huduma mashinani