Wazee wa Garissa na Tana wakutana kumaliza uhasama wa kijamii.

  • | Citizen TV
    252 views

    Wazee kutoka jamii za Auliyan kutika kaunti ya Garissa na wenzao wa jamii ya Wardei kutoka Kaunti ya Tana River wamekubaliana kwa kauli moja kuweka tofauti zao kando na kuishi kwa amani