- 823 viewsDuration: 2:58Majaji wa mahakama ya upeo sasa wametoa onyo kuhusu uchochezi dhidi ya tume ya IEBC huku taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Majaji hao wamesema kuwa upungufu mkubwa wa uaminifu kati ya wakenya na IEBC umekuwa kwa muda mrefu na kutaka washikadau wote wakome kushambulia uhuru wa tume ya uchaguzi nchini IEBC.