Waziri Barasa azindua usambazaji wa dawa za Ukimwi,Malaria na Kifua kikuu

  • | KBC Video
    66 views

    Ni afueni kwa wagonjwa wa HIV, Malaria na Kifua Kikuu kufuatia kusambazwa kwa dawa muhimu na vifaa vya matibabu katika Kaunti mbalimbali nchini. Uzinduzi huo unafuatia marekebisho ya kusimamisha uagizaji wa dawa na vifaa vya matibabu ambako kulilemaza shughuli za Shirika la usambazaji dawa na vifaa Muhimu na kusababisha kusitishwa kwa mchakato wa uagizaji uliopokelewa kwa bidhaa zinazofadhiliwa na shirika la USAID. Hafla hiyo inajiri huku waziri wa Afya Dkt. Deborah Barasa akishikilia kuwa Nchi hii ina viwango vya kutosha vya dawa na bidhaa muhimu zinazoweza kudumu kwa kati ya miezi kadhaa hadi miaka miwili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive