- 34 viewsDuration: 3:09Serikali sasa ina matumaini ya kutimiza azma ya usalama wa chakula nchini kupitia mradi wa Galana Kulalu unaotekelezwa na Mamlaka ya Kitaifa ya Unyunyizaji mimea NIA kupitia mkataba wa ushirikiano kati ya umma na sekta ya kibinafsi yaani PPP. Akizungumza baada ya kuzuru mradi huo waziri wa fedha John Mbadi amesema kuwa tayari shilingi milioni 500 zimewekezwa katika ekari 1500 ambazo zitavunwa mahindi wiki ijayo.