Waziri wa mazingira Soipan Tuya awaonya wakenya wenye mazoea ya kuharibu misitu

  • | Citizen TV
    604 views

    Waziri wa mazingira Soipan Tuya amewaonya wakenya wenye mazoea ya kuharibu misitu kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Kulingana naye, wizara hiyo ina mpango wa kuajiri maafisa wa kulinda misitu zaidi ya 2,000 ili kusaidia katika ulinzi ya rasilmali ya umma. Waziri huyo alizungumza alipokutana na washikadau wa mazingira hapa jijini Nairobi.