Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen aongoza kikao Kisii

  • | Citizen TV
    549 views
    Duration: 1:37
    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ametoa onyo kali kwa wahudumu wa bodaboda wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu, akizungumza mjini Kisii kwenye jukwaa la usalama, murkomen ameahidi kukabiliana na makundi ya watu wachache wanaoharibia jina sekta hiyo muhimu ya uchukuzi nchini