Skip to main content
Skip to main content

WEEGO, Safaricom na NTSA waongoza mdahalo wa kuboresha mfumo wa usafiri wa pikipiki na tuktuk nchini

  • | Citizen TV
    307 views
    Duration: 1:20
    Kampuni ya WEEGO, safaricom, mamlaka ya usalama barabarani ntsa na chama cha waendeshaji bodaboda hii leo waliungana na wadau wengine kujadili njia za kutekeleza mfumo wa usafiri wa pikipiki na tuktuk nchini Kenya