Wengi wanalazimika kutembea kilomita zaidi ya 100 kupata Vitambulisho

  • | Citizen TV
    20 views

    Licha ya jitihada za serikali kurahisisha mchakato wa kutoa vitambulisho vya kitaifa kwa wakenya, wafugaji maeneo ya Baragoi, Samburu kaskazini hawanufaiki.mbunge wa eneo hilo eli letipila, amependekeza kuwa afisi ya usajili ibuniwe mashinani kama njia moja ya kumuondolea dhiki mfugaji ya kusafiri zaidi ya kilomita mia moja kusaka stakabadhi hiyo muhimu.