Wezi waiba kilo 11,000 za kahawa kutoka kwa kiwanda cha Kangaita, Tetu

  • | Citizen TV
    185 views

    Wakulima wa kahawa kijijini Kangaita Eneo bunge la Tetu kaunti ya nyeri wanakadiria hasara Baada ya kilo 11,000 za kahawa yao kuibwa Kutoka Kwenye ghala la kiwanda chao .