Wiki ya kwanza ya usaili wa makamishna wa IEBC yakamilika

  • | KBC Video
    69 views

    Jopo la uteuzi la tume huru ya uchaguzi na mipaka-IEBC lilikamilisha wiki kwa kuwahoji watu sita waliotuma maombi ya kutaka kuwa makamishna wa tume hiyo ya uchaguzi. Sita hao walikuwa miongoni mwa wengine waliotakiwa kueleza jinsi watakavyohakikisha uchaguzi huru, wa haki na wa wazi na pia kuhakikisha umoja wa tume hiyo ili kuepusha mgawanyiko kama ilivyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive