Wizara ya afya ina wasiwasi kuhusiana na malipo ya SHA

  • | Citizen TV
    543 views

    Wizara ya afya sasa ina wasiasi kuhusiana na idadi ya wakenya wanaolipa bima ya afya ya SHA ikisema ni wakenya milioni tatu pekee kati ya milioni 19 wanaolipa ada hizo. Waziri wa afya debora barasa sasa akiwataka wakenya milioni 15 waliosajiliwa kutoa malipo yao kufanikisha mpango huu.