Wizara ya afya yatangaza kulipa madeni ya NHIF ya bilioni 8.4 polepole

  • | NTV Video
    286 views

    Wizara ya afya imesema italipa madeni ya bima ya afya iliyobanduliwa ya NHIF ya shilingi bilioni 8.4. Haya yanajiri huku SHA ikiwa sasa imechukua deni za NHIF na kutangaza kuwa italipa pole pole pesa hizo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya