Wizara ya leba kuwachukulia hatua waajiri wanyanyasaji

  • | Citizen TV
    203 views

    Wizara ya leba nchini inapanga kuwachukulia hatua za kisheria waajiri na hata wawekezaji wanaowanyanyasa waajiriwa kwa kuwapa malipo duni kinyume cha sheria za leba.