zaidi ya mama 300 ambao wapewa Ng'ombe wa maziwa, Nandi kama njia ya kujitosa katika ufugaji

  • | NTV Video
    141 views

    Ni afueni kwa zaidi ya akina mama 300 ambao wamepewa Ng'ombe wa maziwa Katika kijiji Cha Kapng'ombe Kwenye eneo bunge la Mosop Kaunti ya Nandi. Hii ikiwa NI njia mbadala ya kujitoSA katika ufugaji baada ya Miaka mingi ya kushiriki Katika ugemaji na uuzaJI WA pombe haramu. Mwanahabari wetu Macharia Mbugua ana maelezo Zaidi.Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya