Serikali imeanzisha awamu ya kwanza ya mikakati ya kukabiliana na ukame kwenye kaunti ya Mandera kwa kutoa misaada ya vyakula, bidhaa nyingine muhimu na maji katika juhudi za kulinda jamii zilizoathirika pakubwa kutokana na kiangazi katika sehemu hiyo. Kadhalika, shirika la msalaba mwekundu nchini-KRCS limeanzisha mpango wa usambazaji vyakula katika eneo hilo unaolenga kuwanufaisha wakazi wengi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive