Licha ya mazingira magumu ya jangwani, wakulima katika Kaunti ya Hotan, mkoa wa Xinjiang nchini China, wamefanikiwa kubadilisha ardhi kame kuwa kituo chenye mafanikio ya ufugaji wa samaki. Kwa kutumia teknolojia za kisasa, eneo hilo sasa linaingia msimu wa mavuno ya kaa, kamba na samaki aina ya sea bass wanaofugwa kwenye maji ya chumvi yaliyotibiwa kitaalamu.. Maelezo zaidi ni katika makala yetu kuhusu ufahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News