Skip to main content
Skip to main content

Familia na wafanyakazi wenza wakusanyika kumkumbuka Festus Amimo

  • | KBC Video
    2,348 views
    Duration: 4:05
    Familia, jamaa na wafanyakazi wenza walikongamana katika jumba la shirika la utangazaji nchini, KBC, kwa misa ya mwendazake Festus Amimo, aliyefariki wiki iliopita. Wazungumzaji wakimuomboleza sio tu kama mtu aliyependa kazi yake, bali pia kama rafiki na mfanyakazi mwenza wa kutegemewa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive