Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani akisema hawana ajenda wala mpango wa maendeleo kwa taifa hili licha ya kutaka kuwania madaraka katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Rais, ambaye alikuwa katika kaunti ya Turkana, alizindua miradi kadhaa ya maendeleo na pia alihudhuria toleo la 9 la Tamasha ya Utalii na Utamaduni ya Turkana.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive