- 108 viewsDuration: 3:19Serikali imehimizwa kuweka hatua kali za kisheria ili kuondoa makundi laghai katika sekta ya kibinafsi ya ulinzi. Haya yanafuatia malalamishi kwamba kuongezeka kwa kampuni ambazo hazijasajiliwa kunasababisha msongamano katika biashara, huku walinzi wa usalama wakiripotiwa kutolipwa kiwango cha mshahara kinachohitajika kisheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive