Skip to main content
Skip to main content

Utengenezaji bidhaa na ujenzi ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi, asema Waziri Mbadi

  • | KBC Video
    102 views
    Duration: 2:51
    Waziri wa fedha John Mbadi amesema kuwa wakenya wataanza kuhisi manufaa ya ukuaji endelevu mara tu uchumi utakapokua kwa Zaidi ya asilimia 7 kwa mwaka. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya mwaka huu ya hali ya kiuchumi nchini na ile ya uchanganuzi wa hali ya kifedha nchini Mbadi alisema kuwa kuimarisha ukuaji katika sekta kuu hasa utengenezaji bidhaa na ujenzi kutawezesha nchi hii kubuni nafasi za ajira na kuimarisha mapato kwa wananchi. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive