- 91 viewsDuration: 2:18Wafugaji katika kaunti ya Lamu wanatarajiwa kunufaika na mradi mpya wa uhifadhi wa maziwa katika eneo la Witu, ambao unalenga kupunguza hasara na kuboresha upatikanaji wa masoko. Mradi huu umejiri baada ya wafugaji kudumu kwa miaka mingi wakikumbwa na hasara kutokana na uhifadhi duni wa maziwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive