Skip to main content
Skip to main content

Familia za waliofariki ughaibuni zalilia haki

  • | KBC Video
    99 views
    Duration: 2:00
    Serikali imelaumiwa kwa kile kinachodaiwa kuwa kuwatelekeza Wakenya wanaofanya kazi ughaibuni. Shirika la kutetea haki za kibinadamu, ICPS linadai kwamba baadhi ya Kenya wanaofariki katika mataifa ya kigeni wanazikwa bila idhini ya familia zao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive