Kwa miaka mingi, wakazi wa kijiji cha Saimosoi kilichoko katika kaunti ya Baringo kimeshuhudia madhila ya mashambulizi ya majangili ambayo yamesababisha maafa, uharibifu wa mali na kulazimishwa kuhama makwao. Lakini licha ya makovu ya ghasia hizi, wanafunzi 39 wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu wamedhihirisha ukakamavu na kustahimili hali ngumu ili kutimiza ndoto zao za elimu. Tarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Dira ya Kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive