Skip to main content
Skip to main content

Raia wa Uholanzi kufukuzwa nchini kwa kumdhalilisha afisa wa polisi Diani

  • | Citizen TV
    35,338 views
    Duration: 2:35
    Raia wa Uholanzi aliyeonekana kwenye video akimtusi na kumdhalilisha Afisa wa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Diani, sasa atafukuzwa nchini kutokana na utovu wa nidhamu na kukiuka sheria za nchi. Kamanda wa Polisi wa eneo la Msambweni, Robinson Lang’at, amewaonya raia wa kigeni dhidi ya kuvunja sheria za Kenya na kuwataka kuwaheshimu wakenya wote