- 85 viewsJiko linalohamishika limetengenezwa katika jimbo la Kasala nchini Sudan kwenye mji wa New Halfa kuwahudumia watu waliokoseshwa makazi waliokimbia ghasia ambazo zimegubika jimbo la El Gezira na mikoa mingine iliyokumbwa na vita. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Taasisi yajitolea kuwalisha waliopoteza makazi Sudan | VOA Swahili
- 23 Nov 2024 - President-elect Donald Trump said he will nominate hedge fund manager Scott Bessent as secretary of the Treasury, in a statement Friday night.
- 23 Nov 2024 - Taboos and misinformation are fueling period stigma and poverty in the country, amid calls to promote menstrual health and dignity. Menarche, which is the onset of menstruation, varies from person to person, typically occurring between the ages of 10…
- 23 Nov 2024 - Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) have arrested a 27-year-old man in connection with the fatal shooting of another man in Eastleigh's California Estate on November 9.
- 23 Nov 2024 - The Senator was forced to clarify the reports after Kenyans raised concerns over the posts.
- 23 Nov 2024 - The number of Kenyans seeking loans from digital lenders has been on the rise in the last two years due to the harsh economic times.
- 23 Nov 2024 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has reassured city residents of an imminent solution to the city’s deteriorating road network, promising joint efforts between the County Government and the National Government. Speaking before the Senate’s County Public…
- 23 Nov 2024 - The runner-up in Mozambique's October 9 presidential elections, Venancio Mondlane, has accepted President Filipe Nyusi's offer to join discussions with him and three other candidates in hopes of ending weeks of postelection protests and violence that…
- 23 Nov 2024 - Kenya Bureau of Standards (KEBS) has reiterated its unwavering commitment to the Mombasa Port and Northern Corridor Community Charter (MPNCCC), emphasizing its pivotal role in meeting its Charter obligations. KEBS Managing Director, Esther Ngari, says…
- 23 Nov 2024 - Agriculture PS Paul Ronoh directs Kenya Tea Development Agency to refund excess money deducted from farmers for fertiliser.
- 23 Nov 2024 - Speaking on Friday in Nakuru, Ogamba stated that these cases were reported across 198 examination centers out of a total of 10,754 centers nationwide.