Wanachama wa hifadhi ya Oldonyio Sampu waandamana

  • | Citizen TV
    276 views

    Wanachama zaidi ya 1,000 wa sehemu ya uhifadhi ya Oldonyio Sampu iliyoko Meto Kajiado ya Kati wameandamana wakipinga mradi wa kuzalisha hewa ya kaboni katika hifadhi hiyo.