Wachezaji Tae Kwondo wafuzu

  • | Citizen TV
    228 views

    Kama njia ya kuendelea kupambana na uhalifu mtaani Kariobangi hapa Nairobi, wachezaji wanane wa mchezo wa tae kwondo wamefuzu na kupanda daraja kwenye mchezo huo.