Viongozi kutoka Nyandarua washtumu serikali kuu kwa kutotimiza ahadi zao kwa wakenya

  • | NTV Video
    46 views

    viongozi tofauti waliozuru kaunti ya nyandarua waliishtumu uongozi wa serikali kuu, kwa kutotimiza ahadi walizotumia kuwarai wakenya ili kuwapa kura, huku wakisisitiza kuwa serikali inafaa kuangazia mambo muhimu yatakayoimarisha uchumi. walisema hayo walipomsindikiza mwakilishi wadi wa engineer katika makao ya dci huko nyandarua. mwanahabari wetu rahab njuguna ameandaa taarifa hii inayosomwa na paul nabiswa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya