Jamii ya Kalenjin yaendelea kukumbatia utamaduni na kuhakikisha watoto wao wanafuata nyayo

  • | NTV Video
    13 views

    Jamii ya Kalenjin imetakiwa kuendelea kukumbatia utamaduni na kuhakikisha kwamba watoto wao wanafuata nyayo zao. Hii inafuatia wasiwasi kuhusu upotevu wa utamaduni, ambao unachukuliwa polepole na utamaduni wa magharibi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya