Wakenya waanzisha kampeni ili kuchangisha fedha kujenga hospitali ya kutibu arthritis

  • | NTV Video
    120 views

    Wakenya wa nia njema wameanzisha kampeni ya kuendesha baisikeli kutoka kaunti ya kilifi hadi busia kwa lengo la kuhamasisha umma kuchangisha fedha ili kujenga hospitali ya kisasa kutibu maradhi ya arthritis.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya