KFS kujenga ua kwenye misitu inayokabiliwa na hatari ya kunyakuliwa

  • | K24 Video
    13 views

    Serikali kupitia shirika la huduma za misitu nchini, KFS, sasa imetenga zaidi ya shilingi milioni 160, kwa lengo la kujenga ua kwenye misitu kufuatia ongezeko la visa vya unyakuzi wa ardhi. mkuu wa idara ya KFS, Alexander Lemarkoko, ametangaza hilo akisema ukosefu wa ua kunachangia ongezeko la uhalifu. KFS sasa iko katika harakati ya kubatilisha hatimiliki za ardhi ya misitu.