Serikali ya kiambu yanunua taa za barabarani 12,000 za sola

  • | Citizen TV
    684 views

    Kaunti ya Kiambu imepanga kubadilisha taa za barabarani zinazotumia umeme na kuweka zinazotumia nishati ya jua kama njia mojawapo ya kujiokoa kutokana na bili kubwa ya umeme.