Serikali sasa inasema imezima mashambulizi 47 ya kigaidi katika muda wa miaka miwili iliyopita

  • | Citizen TV
    971 views

    Serikali sasa inasema imezima mashambulizi 47 ya kigaidi katika muda wa miaka miwili iliyopita. Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amesema haya kwenye utathmini wa ripoti ya usalama wa kigaidi nchini. Aidha, Mudavadi ameonya kuhusu utumizi mbaya wa mitandao anaosema una hatari kwa usalama wa taifa.