Polisi Kiambu waanza uchunguzi kufuatia tukio la mwanamke wa miaka 62 aliyebakwa na kufariki Ruiru

  • | Citizen TV
    863 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Kiambu wameanzisha uchunguzi kufuatia tukio ambako mwanamke wa miaka 62 alibakwa na kufariki eneo la Ruiru. Inaarifiwa kuwa, mama huyu alishambuliwa alipokuwa njiani kuelekea kazini kwenye shamba lake la Kahawa saa za alfajiri siku mbili zilizopita