Mahakama ya Kisii imewapata na hatia watu wanne kwa hatia ya kina mama wanne wakongwe

  • | Citizen TV
    832 views

    Mahakama kuu mjini Kisii imewapata na hatia watu wanne kwa hatia ya kina mama wanne wakongwe waliouwawa kwa tuhuma ya uchawi miaka mitatu iliyopita. Jaji Waweru Kiarie pia amewaondolea mashtaka washukiwa 12 waliohusishwa na mauaji haya.