Wanafunzi wenye shahada wageukia elimu ya ufundi

  • | Citizen TV
    294 views

    Baadhi ya wanafunzi waliohitimu na shahada katika taaluma mbalimbali, sasa wameazimia kujiunga na vyuo vya kiufundi katika harakati ya kujipatia ujuzi wa kujiajiri. Collins Shitiabayi amekutana na baadhi yao mjini kitale, wanasema huenda ujuzi wa vyuo vya kiufundi vikawasaidia kupata nafasi za kazi kwa urahisi.