Nehemia Meitamei, kijana anayetoka katika familia maskini apata alama ya A Kajiado

  • | Citizen TV
    510 views

    Licha Ya Kutoka Katika Familia Maskini Nehemia Meitamei Kasaine Amekaidi Hali Hiyo Ya Uchochole Na Kuibuka Miongoni Mwa Wanafunzi Bora Zaidi Ambao Walipata Alama Ya 'A' Kwenye Mtihani Wa Kcse 2024.