Naibu rais Kindiki ataka wanaokosoa serikali kuwajibika

  • | Citizen TV
    711 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki amewataka wananchi kuwajibika ili kuendeleza umoja na kuimarisha uwiano nchini.